Elections 2010 Mwenye macho haambiwi tazama: CCM chali!

Elections 2010 Mwenye macho haambiwi tazama: CCM chali!

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,342
kuna methali isemayo "mwenda macho haambiwi tazama"!!!!!!!!
ukweli ni kwamba ukienda shule, waenda kufuta ujinga, ukienda shule ukahitimu na ujinga haujakutoka, basi utapata jina la sifa yaani mpumbavu,
Hawa ccm sisi tupo pembezoni mwa barabara mbovu wao wanakuja na kutuambia "tazameni tumejenga barabara", tupo pembeni ya kisima kisicho na maji wanatuambia choteni maji "yaani tuchote maji ambayo hayapo, hawa jamaa inaonyesha wengi wao walienda kushangaa majengo ya shule, hawajui kitu, tunaenda kuwaonyesha kwenye sanduku la kura.
ulizaliwa kadooooooogo, kadri siku zikienda unabadilika kimaumbile, na akili yako inabadilika pia, wanaoshindwa kubadilika na kuitosa ccm mustakabali wao na mungu wao si mzuri, kwani inawezekana hawawezi kutubu dhambi na kuziacha ili kutii maagizo ya mungu. nini maana yangu, kutubu ni kubadilika kutokutubu naifananisha na kuikumbatia ccm. shitukeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!
 
imejichimbia kaburi itajizika jumapili
 
Back
Top Bottom