Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Habari zenu wana jf,nimepewa swali binafsi linalotaka niandike insha isiyopungua kurasa mbili nieleze kuhusu ushairi wa kiswahili na nihitimishe kwa kutunga beti mbili za mashairi.Naomba msaada wenu mwenye document kubwa anaweza kunitumia kwenye email yangu ntakilowakumulaga@gmail.com