Mwenye majina ya waliochaguliwa Ualimu msaada please

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
366
Kwa yeyote mwenye majina ya ngazi ya cheti au diploma au yote kwa pamoja tuwekeeni hapa please msaada tafadhari
 
Kwa yeyote mwenye majina ya ngazi ya cheti au diploma au yote kwa pamoja tuwekeeni hapa please msaada tafadhari.NAOMBA MTUSAIDIE JAMANI MWENYE HAYA MAJINA.NILIOMBA LAKINI SIJUI KAMA NIMEKUBALIWA MAANA WEBSITE YA ELIMU HAIFUNGUKI!
 
Kwa yeyote mwenye majina ya ngazi ya cheti au diploma au yote kwa pamoja tuwekeeni hapa please msaada tafadhari

tazama kwenye post yangu: nimeyaweka ktk pdf
 
jaman MOE mbona hamfunguki aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaarrrrrrrghhhhhhhhhhhhhhhhhhh
:A S cry:
 
hata PDF haifunguki kweli mwaka wa kufa nyani
 
Acheni kuhangaika na majina jamani hata madogo wenyewe walishagoma. Wameapa hawatatia mguu katika chuo chochote! Mwambieni Waziri Kawambwa na Mulugo wakafundishe nawaambiwa eti ni walimu wa sayansi wale.
 
hata PDF haifunguki kweli mwaka wa kufa nyani

kama unatumia simu na hauna adobe reader au pdf reader yeyote huwezi kufungua haya majina. Kama hujapata lako mpaka sasa,sema jina diploma,ama grade A nikuangalizie.
 
Grade A, niangalizie ally said na amina shaban
 
Haya mshaona majina sasa kapigenimsuli,sana mpaka mfike masters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…