Mwenye mapenzi ya dhati ni huyu hapa!!!!!!!!!!!!!

Nyani na mzee Ngabu ni kama mshipa na damu...eeh
wasiwasi ni kwamba akina mama huwa wanaficha mno siri za watoto, hapo sasa??????????????????????????????????(jokes)
 
Vipi wale kina mama wanaotupa wanao majalalani....????????
 
Vipi wale kina mama wanaotupa wanao majalalani....????????
hao ndo wale ambao hawahuji thamani zao..........
ni heshima sana mwanamke kuitwa mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…