Younguther
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 243
- 483
Kumpa mwanaume huduma zote za mke ikiwemo kumfulia, kumpikia,tendo la ndoa nk wakati hajakulipia mahari ni kuchafua nyota yako. Huo ndio ukweli japo mchungu
Mwanaume lazima umnyime haki za ndoa ili umuoneshe umuhimu wa yeye kukamilisha taratibu zote akuchukue kwenu na kukutumia kihalali, wanawake msikubali kuwa bidhaa cheap
Tabia yenu hii ya kujirahisisha ndio inayowapa kiburi vijana wengi kutokuoa na kuwachezea sana
Na ndio maana hata waoaji wamepungua kwakuwa huduma inapatikana kwa urahisi kabisa maadili yameharibika mno
Unakuta kamdada hakajaolewa ila kanafanya tendo la ndoa kila siku, kanaenda kanafua, kanadek, kanapika kanapigwa show kanapewa nauli ya boda na afutatu🤔
Acheni uasherati vijana
Shwain