Mwenye Mawasiliano na wasambazaji wa mbao zenye dawa kutoka Sao Hill

ministrant

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
754
Reaction score
1,478
Wasalaam,

Msaada kwenye tuta ili kuepukana na changamoto ya kuuziwa mbao zisizo na ubora kwa kuaminishwa kuwa zina dawa na baada ya muda mfupi wadudu waharibifu wanaanza kubungua mbao.

Mwenye mawasiliano na hawa jamaa tafadhali atusambazie upendo humu jukwaani.

NB: Site ipo Dsm
 
Check inbox.
 
Mkuu, Nenda pale Mandela Road utawapata, au wasiliana na namba hii, 0715937081 atakusaidia, ni mfanyakazi wa Sao Hill muda mrefu. Nimenunua sana mbao pale. Mbao za Sao Hill ni mbao bora sana. Sema tu jipange maana wana bei hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…