OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Naona mkuu East African Eagle hujaelewa vizuri post, mtoa post alichomaanisha ni kwamba hawa wakimbizi wakishapewa uraia wasiachwe wakaishi katika eneo moja wapewe uhuru wa kwenda mahali popote watakapo ili kujichanganya na watu wa jamii nyingine, kwa sababu hawa watu wakiendelea kukaa watu wa jamii moja manake unatengeneza ukabila katika eneo hilo....MH. JK hao wakimbizi wakipewa uraia waruhusiwa kwenda mahal popote watakapo ndan ya nchi hii, kuwaacha wakikaa sehemu moja ni kuitengeneza BURUNDI nyingine kwenye nchi yetu.
Dear Graca Machel
You married Samora Machel & he died
You married Nelson Mandela & now he is dead!
In conclusion every man that you marry dies!
So
Please marry samuel sitta for us!
Yours Faithfuly
Tanganyika
Ukiwa mkimbizi unatakiwa ukae kambini na usijichanganye na wazawa ndio maana hata wakitoka makambini huwa kwa ruksa maalum wakitoka kienyeji hukamatwa na uhamiaji.Kama hawa warundi walikaa kwenye makambi na hawakuchanganyika na wazawa kwa miongo yote minne basi wanaonyesha kuwa ni watii sana wa sheria za ukimbizi na kuwa wasingependa serikali ya tanzania ipate shida kuwatambua kama warundi kama ambavyo wahamiaji toka nchi nyingine hufanya ili kupoteza urahisi wa kuwajua.
Hao warundi naona hamna tatizo la kuwapa uraia wapewe tu.Na wakishapewa watakuwa sasa huru kwenda kokote,kuoa na kuolewa kokote na kuishi popote na hapo ndipo utawaona wakijichanganya ki-rasmi na watanzania.
Exactly Saidimu, uamuzi wa awali ukikuwa huo sijui nini kimetokea. Warundi wanafahamika sana kwa uhalifu, ujangili na elements za uasi. Sijui itakuwaje coz ameshawatangazia jana kama nilivyopost asubuhi ya jana labda Bunge laweza kufanya kitu.Soi waruhusiwe bali "wapelekwe"!!!!
Exactly Saidimu, uamuzi wa awali ukikuwa huo sijui nini kimetokea. Warundi wanafahamika sana kwa uhalifu, ujangili na elements za uasi. Sijui itakuwaje coz ameshawatangazia jana kama nilivyopost asubuhi ya jana labda Bunge laweza kufanya kitu.
Kuna wahindi na waarabu tanzania wameachwa kuishi na tamaduni zao na itikadi zao.Pia kuna makabila kibao yameachwa na itikadi zao na tamaduni zao lakini hazileti shida kwenye nchi.Cha muhimu si kutaka wao waue itikadi na tamaduni zao bali waishi nazo waishi kwa kutii sheria za Tanzania.Hizo itikadi na tamaduni hata kila mtanzania anazo! Si kigezo cha kuwazuia eti waziache ndio wapewe uraia!
Wadau,
Nimesikia leo katika vyombo vya habari kuwa Rais Jakaya Kikwete atawapa vyeti vya uraia wakimbizi wa zamani wa burundi. Mimi ni mdau kwa vile nimekulia mkoani katavi. Kuwapa uraia ni sawa hasa kujali muda waliokaa ktk makambi hayo, lakini nasikia atatangaza pia kuwa watu hao waendelee kukaa katika kambi hizo wakiwa raia kamili. Hapa ndio pagumu, hawa watu wameishi zaidi ya miongo 4 lakini hawakujichanganya na watanzania. waliendelea kuoana wao kwa wao tu na hata kuenda kuoa burundi. Hivo suala la kuwaacha kuishi peke yao bila kuwahamisha waishi na watanzania ni kutengeneza burundi ndogo humu nchi.
Kumekuwa na uingizaji sil;aha sana katika kambi hizi. Is a serious matter, nadhani jk hajashauriwa vizuri. Najua jf ina wadau wengi, naomba anayeweza kuwasiliana na jk au washauri wake amweleze haraka - kabla ya mchana huu wa leo - kuwa angalau aahirishe kutamka makazi ya raia hao wapya yatakuwaje.
Uraia sawa ila angalau kupatikane njia nzuri kuwachanganyisha na watanzania wengine. La sivyo vizazi vijavyo vitapata shida kwa kuwa na vinchi ndani ya Tanzania hasa ukizingatia kambi hizi zipo maporini na zina eneo kubwa, wataitwa watu toka burundi na kuweka makambi ya uasi either wa burundi au Watanzania katika mapori hayo. Wapo viongozi walioshuhudia dalili hizi za uasi kasim majaliwa akiwa dc wa urambo alipambana sana na hili. Makosa yasirudiwe.
Hima jamani JK ajulishwe now.
mkuu sasa mkisambaa watawapataje kwa urahisi wakati wa kupiga kura? yan unataka mjichanganye ili kura zingine ziende chadema? wenzio wana mpango wa kuweka vituo vya kupigia kura kwenye hzo kambi
Sijawahiona mtu mchonganishi kama wewe, Mungu akusaidie.Warundi wanaotaka kupewa uraia ni wale wakimbizi wa Burundi ambao wapo kwenye makambi ya wakimbizi tokea mwaka 1972.Wengi wao kama ulimsikiliza rais Kikwete jana alisema kuwa wamezaliwa Tanzania, wamekulia Tanzania na hawajawahi kufika hata Burundi.Sasa wewe unaposema kuwa wanavusha siraha una uhakika, wanavusha siraha kwa lengo gani maana hakuna chama chochote cha Burundi kinachooperate ndani ya Tanzania na wala hao wakimbizi hawana hata mpango wa kurudi huko Burundi maana wengi wao wamezaliwa Tanzania na hiyo Burundi wanaisikia kwa jina.remember hapa tunaongelea makambi nasio mitaa ya kitumbini, kisutu, jamhuri, upanga, n.k. au uhuru road kule Arusha. hawa ni wanaharakati na wengi ni waasi kule walikotoka, jiulize hizo silaha zinazokamatwaga makambini wanazitoaga wapi?
Sijawahiona mtu mchonganishi kama wewe, Mungu akusaidie.Warundi wanaotaka kupewa uraia ni wale wakimbizi wa Burundi ambao wapo kwenye makambi ya wakimbizi tokea mwaka 1972.Wengi wao kama ulimsikiliza rais Kikwete jana alisema kuwa wamezaliwa Tanzania, wamekulia Tanzania na hawajawahi kufika hata Burundi.Sasa wewe unaposema kuwa wanavusha siraha una uhakika, wanavusha siraha kwa lengo gani maana hakuna chama chochote cha Burundi kinachooperate ndani ya Tanzania na wala hao wakimbizi hawana hata mpango wa kurudi huko Burundi maana wengi wao wamezaliwa Tanzania na hiyo Burundi wanaisikia kwa jina.
In short mimi nasapoti wapewe uaraia hata leo ila kwa kuwa tokea enzi za Laurent Masha akiwa waziri wa mambo ya ndani UNHCR ilitoa hela za kuwaandikisha katika mchakato mzima wa wao wapewe uraia lakini hizo hela mpaka leo ukimuuliza Masha alizipeleka wapi hana jibu.Na yalikuwepo makubaliano kuwa atakaepewa uraia atachagua mkoa mwingine wa kishi ili kwamba wachanganywe na jamii ya Watanzania ili waweze kujifunza tamaduni za Tanzania maana kwa muda wote walioishi hapa Tanzania hawaruhusiwi kutoka nje ya makambi ya wakimbizi mpaka kwa ruhusa maalumu ya mkuu wa makambi hayo.Masha kukosa ubunge ujue ni laana za watu wengi
Wadau,
Nimesikia leo katika vyombo vya habari kuwa Rais Jakaya Kikwete atawapa vyeti vya uraia wakimbizi wa zamani wa burundi. Mimi ni mdau kwa vile nimekulia mkoani katavi. Kuwapa uraia ni sawa hasa kujali muda waliokaa ktk makambi hayo, lakini nasikia atatangaza pia kuwa watu hao waendelee kukaa katika kambi hizo wakiwa raia kamili. Hapa ndio pagumu, hawa watu wameishi zaidi ya miongo 4 lakini hawakujichanganya na watanzania. waliendelea kuoana wao kwa wao tu na hata kuenda kuoa burundi. Hivo suala la kuwaacha kuishi peke yao bila kuwahamisha waishi na watanzania ni kutengeneza burundi ndogo humu nchi.
Kumekuwa na uingizaji sil;aha sana katika kambi hizi. Is a serious matter, nadhani jk hajashauriwa vizuri. Najua jf ina wadau wengi, naomba anayeweza kuwasiliana na jk au washauri wake amweleze haraka - kabla ya mchana huu wa leo - kuwa angalau aahirishe kutamka makazi ya raia hao wapya yatakuwaje.
Uraia sawa ila angalau kupatikane njia nzuri kuwachanganyisha na watanzania wengine. La sivyo vizazi vijavyo vitapata shida kwa kuwa na vinchi ndani ya Tanzania hasa ukizingatia kambi hizi zipo maporini na zina eneo kubwa, wataitwa watu toka burundi na kuweka makambi ya uasi either wa burundi au Watanzania katika mapori hayo. Wapo viongozi walioshuhudia dalili hizi za uasi kasim majaliwa akiwa dc wa urambo alipambana sana na hili. Makosa yasirudiwe.
Hima jamani JK ajulishwe now.
.Dear Graca Machel
You married Samora Machel & he died
You married Nelson Mandela & now he is dead!
In conclusion every man that you marry dies!
So
Please marry samuel sitta for us!
Yours Faithfuly
Tanganyika