Mwenye mawazo zaidi kuhusu biashara hizi

ellymn

Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
28
Reaction score
22
Mimi ni mwanafuzi, nategemea kumaliza chuo mwaka huu ila lengo langu kubwa ni kufanya biashara hapa mjini na sitaki kurudi nyumbani.

Naomba mwenye uelewa na mawazo kuhusu biashara za viatu na cosmetic.

Naomba tushare mawazo ndugu zangu ili nijue naanza vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna biashara mijini toka nje ya mji ule mema ya nnchi hii hapo purukushani za kodi na wateja wakugombania kama corona
 
Unahitimu lini ?

Unataka ukihitimu ndio uanze kufanya ?
 
Mkuu ellymn kama hujaanza kitu hakitatokea kitu ..wee ingia kwenye biashara maana ukitaka ushauri unaweza kufanya au usifanye kabisa..

Ivyo fanya ili upime mwenyewe kama soko lipo au halipo, uzoefu ndo unajengwa ivyo ..ushauri mzuri utapata kwenye industry..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…