Mwenye mimba kupewa Dawa zote hizi?

Mwenye mimba kupewa Dawa zote hizi?

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,212
Wife ana mimba ya miezi mitatu na siku, alipojua ana mimba tu nilimuomba kuanza kwenda hospital mara moja, alipewa vidonge vya Folic acid ambazo alizitumia kwa kipindi chote cha siku 30

sasa tumeamia makao makuu ya nchi, ikabidi kwenda kumuona Dr mwingine tena ambaye alishauri tufanye vipimo upya tena ili ajue status ya wife, alifanya vipimo vyote na kuona kua mtoto yuko Poa na Mama hakua na tatizo lolote, akamueleza kua amekwisha tumia folic acid Dr akasema vimetosha ila ntakupa Dawa nyingine tena..

Sasa Dawa alizopewa ni nyingi mnoo
Dawa zenyewe ni
1.Pregnacare Plus Omega-
2.Calcium Citrate USP and Vitamin D3 Tablets (Milical)
3.Haema-Caps, Integrated iron and Vitamin Formula

Je kwa umri wa mimba yake hizi Dawa ni sawa?
 
Mbona mimi wangu Follic acid ametumia miezi yote mpaka kujifunguaa?
Au kila hospital ina maelekezo yake..
 
Back
Top Bottom