Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Pharmtec mkuuUnafanya leseni ya pharmacist ama pharmtec tuanzie hapo
Halafu SI tar 4 keshokutwa tu apo?
Mwamba wa kaskazini hahaaaWafamasia njooni huku mumsaidie mwamba.
Ndio kupambana kwenyewe huku mkuuHuna groups za wanataaluma wenzio kaka? Au una pesa nyingi?
Ok na utafanyia wapi?Pharmtec mkuu
Ndio kupambana kwenyewe huku mkuu
DodomaOk na utafanyia wapi?
Okay nitakutumia niliyonayoDodoma
Njoo pm daktariOkay nitakutumia niliyonayo
Checkout these
CC: DR SANTOSBoss habari β
Kama una Past Papers za Mtihani wa Leseni kwa Bachelor of Pharmacy (Pharmacist) naomba unitumie.
Tuma hapa au kupitia email yangu hii π mysocialnetworkpages@gmail.com
Natunguliza shukurani π