Moorio JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 406 Reaction score 570 Jun 15, 2022 #1 Biashara ni Duka la Jumla spare za pikipiki aina zote Location: Dodoma mjini katikati ya jiji Kama kuna mwenye kiwango hiko cha pesa na hajui wapi pa kuwekeza aje DM tuingie ubia Niko serias.
Biashara ni Duka la Jumla spare za pikipiki aina zote Location: Dodoma mjini katikati ya jiji Kama kuna mwenye kiwango hiko cha pesa na hajui wapi pa kuwekeza aje DM tuingie ubia Niko serias.
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Jun 15, 2022 #2 Lucy Godfrey said: Biashara ni Duka la Jumla spare za pikipiki aina zote Location: Dodoma mjini katikati ya jiji Kama kuna mwenye kiwango hiko cha pesa na hajui wapi pa kuwekeza aje DM tuingie ubia Niko serias. Click to expand... Nadhani huyu mwenye 100M tayari kawekeza mahala ndio sababu mzunguko wake wa fedha umemwezesha kuzipata hizo fedha.
Lucy Godfrey said: Biashara ni Duka la Jumla spare za pikipiki aina zote Location: Dodoma mjini katikati ya jiji Kama kuna mwenye kiwango hiko cha pesa na hajui wapi pa kuwekeza aje DM tuingie ubia Niko serias. Click to expand... Nadhani huyu mwenye 100M tayari kawekeza mahala ndio sababu mzunguko wake wa fedha umemwezesha kuzipata hizo fedha.
Iselamagazi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 6,020 Reaction score 6,161 Jun 15, 2022 #3 Lucy Godfrey said: Biashara ni Duka la Jumla spare za pikipiki aina zote Location: Dodoma mjini katikati ya jiji Kama kuna mwenye kiwango hiko cha pesa na hajui wapi pa kuwekeza aje DM tuingie ubia Niko serias. Click to expand... Kama ana uwezo wa kupata milioni 100 hadi 200, basi ni dhahiri kuwa anajua wapi awekeze. Acha uvivu, tumia huo uzoefu ulionao na idea ulizonazo upate mtaji wako.
Lucy Godfrey said: Biashara ni Duka la Jumla spare za pikipiki aina zote Location: Dodoma mjini katikati ya jiji Kama kuna mwenye kiwango hiko cha pesa na hajui wapi pa kuwekeza aje DM tuingie ubia Niko serias. Click to expand... Kama ana uwezo wa kupata milioni 100 hadi 200, basi ni dhahiri kuwa anajua wapi awekeze. Acha uvivu, tumia huo uzoefu ulionao na idea ulizonazo upate mtaji wako.