Mwenye Nakala ya hivi vitabu: Things Fall Apart & I will Marry When I want

Mwenye Nakala ya hivi vitabu: Things Fall Apart & I will Marry When I want

nenda kariakoo kama upo dar kwa wale wanaouza vitabu pembezoni mwa maduka ya wahindi utavipata..
 
nyongeza: mwenye kitabu, In corner B cha Ezekiel Mphalele na Jarida la Argosy, 1958-ndani kuna hadithi fupi ya Blue widow anijuze
 
nina softcopy ya things fall apart itakufaa?
 
Japokua copyright haijazingaziwa ila hizi nakala zipo poa..thnks
 
New Life in Kyerafaso

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Things Fall Apart Chinua Achebe
Duh inaonekana mkuu upo vizuri, naomba na mimi unitafutie cha songs of Lawino and Ocolo, wala sijui hiyo ocolo kama inaandikwa hivyo, lakini nakipenda sana kitabu chake. Nafikiri part one ndiyo nzuri zaidi.
 
mkuu nimekosa lawino and ocol lakini chukua hiki hapa

No Longer at Ease - Chinua Achebe
 
Attachments

mkuu nimekosa lawino and ocol lakini chukua hiki hapa

No Longer at Ease - Chinua Achebe
Lol, thanks sana mkuu. Hiki nacho kitanisaidia sana wakati nikiendelea kusubiri hicho cha song of lawino, bila shaka utakipata on the way forward. Ubarikiwe sana sun wu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom