Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 289
Kariakoo kubwa kaka, naomba kama unafahamu mtaa husika unisaidie basinenda kariakoo kama upo dar kwa wale wanaouza vitabu pembezoni mwa maduka ya wahindi utavipata..
Kariakoo kubwa kaka, naomba kama unafahamu mtaa husika unisaidie basi
We can always say its for educational and research purposes...Japokua copyright haijazingaziwa ila hizi nakala zipo poa..thnks
I will marry when I want
Duh inaonekana mkuu upo vizuri, naomba na mimi unitafutie cha songs of Lawino and Ocolo, wala sijui hiyo ocolo kama inaandikwa hivyo, lakini nakipenda sana kitabu chake. Nafikiri part one ndiyo nzuri zaidi.Things Fall Apart Chinua Achebe
mkuu nimekosa lawino and ocol lakini chukua hiki hapaDuh inaonekana mkuu upo vizuri, naomba na mimi unitafutie cha songs of Lawino and Ocolo, wala sijui hiyo ocolo kama inaandikwa hivyo, lakini nakipenda sana kitabu chake. Nafikiri part one ndiyo nzuri zaidi.
Lol, thanks sana mkuu. Hiki nacho kitanisaidia sana wakati nikiendelea kusubiri hicho cha song of lawino, bila shaka utakipata on the way forward. Ubarikiwe sana sun wumkuu nimekosa lawino and ocol lakini chukua hiki hapa
No Longer at Ease - Chinua Achebe