Mwenye namba ya Banza Stone!..

Mwenye namba ya Banza Stone!..

Nyakwec's Bro

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
820
Reaction score
174
Jana nilisikia habari zilizonisikitisha sana kuhusu mwimbaji anayenivutia sana katika kazi zake Mwalimu wa Walimu Banza

Stone kwamba alikiri katika radio hiyo amekata tamaa ya maisha na sasa anatunga nyimbo ambazo ikitokea akifa basi

zitabaki kumbukumbu ya sisi mashabiki wake.

Kwakweli nilisikitishwa sana,ninahitaji kuonana na huyu msanii niongee naye kuweza kumpa matumaini mapya.
 
kufulia kubaya sana,eti ameota anakaribia kufa
Anahali mbaya sana huyu bro lakini hayo ni maisha tu yanampa hofu,ninahitaji kuonana naye ninamatumaini ninaweza kufanya kuwa na matumaini mapya kwa neema ya Mungu!....
 
CD4 zimeshuka tena ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Banza anahitaji msaada wa Kiroho tu! Tumuombee afunuliwe atua sahihi za kuchukua hasa Kiroho!
 
CD4 zimeshuka tena ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
we zako mara ya mwisho kupima zilikua ngap?acha hizo au kwa sbb unaandika nyuma ya keyboard huonekani?usimsemee mwenzako usiyopenda kusemewa,na unaonekana unahitaj elimu khs stigma,hujui km wenye tatizo hili ni binadamu wenzetu nao wana hisia?grow up!
 
Maskini! He was a good musician. Asije aka-backslide into drugs!
 
Maskini Banza, yaani amekata tamaa kabisa, Duh I like nyimbo yake ya elimu ya mjinga na Mtu pesa
 
Banza anahitaji msaada wa Kiroho tu! Tumuombee afunuliwe atua sahihi za kuchukua hasa Kiroho!

Uko sahihi kabisa kaka hicho ndicho kitu anakosa akipata msaada wa kutosha katika jambo hili na yeye akawapokea msaada huu atatamani kuishi zaidi!....
 
Back
Top Bottom