Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
Anahali mbaya sana huyu bro lakini hayo ni maisha tu yanampa hofu,ninahitaji kuonana naye ninamatumaini ninaweza kufanya kuwa na matumaini mapya kwa neema ya Mungu!....kufulia kubaya sana,eti ameota anakaribia kufa
cd4 zimeshuka tena ?
Sent from my blackberry 9900 using jamiiforums
CD4 zimeshuka tena ?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
we zako mara ya mwisho kupima zilikua ngap?acha hizo au kwa sbb unaandika nyuma ya keyboard huonekani?usimsemee mwenzako usiyopenda kusemewa,na unaonekana unahitaj elimu khs stigma,hujui km wenye tatizo hili ni binadamu wenzetu nao wana hisia?grow up!CD4 zimeshuka tena ?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Maskini! He was a good musician. Asije aka-backslide into drugs!
CD4 zimeshuka tena ?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Banza anahitaji msaada wa Kiroho tu! Tumuombee afunuliwe atua sahihi za kuchukua hasa Kiroho!
njaa mbaya sana...