peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
0754100100Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkibwa sana.
Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao.
Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali?
Yaleyale tu, mbona hiyo namba haipatikani?0754100100
Hii kitu inakera mno mno mnoKampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkibwa sana.
Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao.
Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali?
WhatsApp ndo wapo faster zaidi kujibu ujumbe.0754100100
Yaleyale tu, mbona hiyo namba haipatikani?
Labda wamekugundua unatongoza wale mademu wao ndo maana wamekutupa blacklist lkn hyo ndo namba rahisi ninayowapata nkiwa na shida nao! Mim ni muungwana hata kwa mwonekano tuYaleyale tu, mbona hiyo namba haipatikani?
Airtel wanapokea haraka sana simu,Airtel nao upuuzi ni huohuo.
mvetinamu hajui Kiswahili simu ikiita anaanza kutetemeka...🤣Airtel wanapokea haraka sana simu,
Kuna hao Wavetinamu ni shida mno kupokea simu
Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana.
Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao.
Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali?
Tunaomba TCRA iingilie kati,Kuna shida kubwa kwa watu walio wengi na maskini
Kuna VIP Desk Mkuu, nikipiga wanapokea haraka na kama tatizo halijakamilika wananitafuta wao. Tafuta Hela Mkuu TCRA nao wamekua wachuchu tu mbele ya Makampuni makubwa.Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana.
Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao.
Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali?
Tunaomba TCRA iingilie kati,Kuna shida kubwa kwa watu walio wengi na maskini
Unatapajenhiyo namba ya VIPKuna VIP Desk Mkuu, nikipiga wanapokea haraka na kama tatizo halijakamilika wananitafuta wao. Tafuta Hela Mkuu TCRA nao wamekua wachuchu tu mbele ya Makampuni makubwa.
Unatapajenhiyo namba ya VIP