Mwenye namba ya simu ya mkononi ya receptionist PSRS

Mwenye namba ya simu ya mkononi ya receptionist PSRS

Joined
May 28, 2023
Posts
61
Reaction score
79
Habarini wadau naomba kwa mwenye namba ya mpokezi pale sekretarieti ya ajira anisaidie
Juzi nilikuwa pale nilisahau kuchukua, lengo nataka niwe namwuliza maswala yangu ya ajira.

Niliitwa katika taasisi hiyo nipeleke changamoto na malalamiko nilijibiwa vizuri ila tu nilichoona haswa nilipaswa kujibiwa kupitia simu tofauti na kwenda pale ndiyo maana naomba niweze kuuliza vyema suala langu ninapohitaji kufanya hivyo.
 
😂😂😂😂😂
Unataka umle?
Ulishindwa omba namba direct?
Nenda tu pale,wale wepesi,mshahara yao yenyewe kiduchu,so wanabangaiza kwa wateja kama nyie
 
😂😂😂😂😂
Unataka umle?
Ulishindwa omba namba direct?
Nenda tu pale,wale wepesi,mshahara yao yenyewe kiduchu,so wanabangaiza kwa wateja kama nyie
Hapana, Nina lengo la kiajira tu hakuna kingine natafuta wepesi wa suala langu
 
Back
Top Bottom