Mwenye ndoa salama ajitokeze hapa

thadayo

Senior Member
Joined
Jan 28, 2023
Posts
183
Reaction score
175
Nimekuwa nikisikiliza washauri wa masuala ya ndoa Jinsi wanavyoelezea changamoto za na namna ya kukabiliana nazo yaani kama wao wapo sahihi kwenye ndoa zao, badala yake hao motivation speaker ndio vinara wa kuchepuka katika ndoa zao.

Ndio maana nasema kama una ndoa salama jitokeze.
 
Ndio zinatofautiana mkuu wenye ndoa ndio wanaamua iwe salama kwa mambo Fulani Fulani ila sio yote ,silaha kubwa ni kukaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…