Mwenye ng'ombe wa kisasa jike wa maziwa, tufanye biashara, anahitajika maeneo ya kondoa. Napendelea iwe karibu na kondoa.

Nenda Moshi nronga women utawapata ila Bei g ni 1.5 m kwa ng'ombe mwenye mimba na unakamua 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…