Nahitaji gari ya kufanyia kazi inayobeba abiria kuanzia 7 na kuendelea preferrable Noah, Gaia, Ipsum, au yoyote yenye uwezo huo. Nitampa hesabu ya siku 20,000/= mpaka 25,000/= kwa siku kulingana na makubaliano. Mimi nipo Dar Es Salaam. Gari itafanya kazi maeneo yenye barabara ya rami (sio roughroad) Gari itaendeshwa kwa uangalifu na matunzo ya kutosha. Aliye tayari tuwasiliane nitatoa namba za mawasiliano kwa maelewano na mapatano zaidi. Email yangu jsleym@gmail.com