Nahitaji gari ya kufanyia kazi inayobeba abiria kuanzia 7 na kuendelea preferrable Noah, Gaia, Ipsum, au yoyote yenye uwezo huo. Nitampa hesabu ya siku 20,000/= mpaka 25,000/= kwa siku kulingana na makubaliano. Mimi nipo Dar Es Salaam. Gari itafanya kazi maeneo yenye barabara ya rami (sio roughroad) Gari itaendeshwa kwa uangalifu na matunzo ya kutosha. Aliye tayari tuwasiliane nitatoa namba za mawasiliano kwa maelewano na mapatano zaidi.
Si kasema kuanzia saa saba? yawezekana ni saa saba za usiku mpaka saa moja alfajiri.... STUKA!!7 seater kwa 20 to 25K per day? Mabigi!
Si kasema kuanzia saa saba? yawezekana ni saa saba za usiku mpaka saa moja alfajiri.... STUKA!!
Hajasema kuanzia saa 7, anataka gar ya kubeba watu 7+. Sasa Kama Noah, ama cruiser yenye vita nyuma vya kitalii italipiwa 25,000 kwa siku, starlet si atataka atoe buku tatu?:eek2:
Ngastuka, machale kun'ndesa!
Kiru kiru!! Ote mae!!Hajasema kuanzia saa 7, anataka gar ya kubeba watu 7+. Sasa Kama Noah, ama cruiser yenye vita nyuma vya kitalii italipiwa 25,000 kwa siku, starlet si atataka atoe buku tatu?:eek2:
Ngastuka, machale kun'ndesa!
weka namba tufanye biashara kaka,
ila isiwe gesti bubu tu
Mie nina super custom 8 seater iko makini sana full AC lkn kwa ofa hiyo buku 20 kwa siku mhhh,,maana hiyo ni hesabu ya tax