Mwenye nyumba ni haki yangu kumfukuza mpangaji kabla ya mkataba kuisha?

TZX2012

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
95
Reaction score
17
Wakuu na wajua sheria naomba mnisaidie nauliza.
Nina mpangaji na tuna mkataba utakaoisha 2014.June.
Hajalipa kodi ya June 2013-June 2014.Kodi yake inaisha May.2013.
Nimeamua kumpa notice ya miezi 2.
Je ni haki yangu kumtoza kodi kwenye kipindi hicho cha notice?
Awali kwenye mkataba hatukuliandika kuwa itakuwaje endapo mmoja wetu anaamua kukatisha mkataba.
Je ukimpa mtu notice wakati mkataba haujaisha kikawaida ni lazima akae bure kwenye kipindi cha notice au inabidi alipie?
Natanguliza shukurani.
T
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…