kikokwe Member Joined Apr 7, 2012 Posts 66 Reaction score 25 Jun 26, 2014 #1 Niliomba kujiunga na tume ya utumishi wa walimu pamoja na ukaguzi tangu mwaka jana, kama kuna yeyote mwenye fununu ya walioteuliwa kujiunga na nafasi hizo naomba aweke orodha hadharani.
Niliomba kujiunga na tume ya utumishi wa walimu pamoja na ukaguzi tangu mwaka jana, kama kuna yeyote mwenye fununu ya walioteuliwa kujiunga na nafasi hizo naomba aweke orodha hadharani.
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,877 Reaction score 5,022 Jun 26, 2014 #2 Kama haupo kwenye proffessional ya teachng utangoja sana mkuu