mwenye past papers za cpa 2021 na 2020

mwenye past papers za cpa 2021 na 2020

LDA COMPANY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
340
Reaction score
622
Kwema ndugu zangu naomba kama kuna mtu yeyote mwenye past papers za cpa kwa miaka hiyo hapo juu kwa ngazi ya intermedite na final anisaidie
 
nahitaji za 2010 na 2021 level ya intermediate na final
 
Past papers za nini? Tafuta knowledge sio maswali na majibu ndugu.
Ndo elimu yetu hiyo, no wonder hatuwezi kufanya uvumbuzi, watu wanazunguka mule mule , kwa ajili ya kukariri maswali na majibu,
Usimlaumu mtoa mada , shida inaanza toka juu kwa hao maprofesa wanaotunga mitihani , bila wao kukariri maswali ya kuuliza huku chini wanafunzi wasingeahangaika na past papers.
 
zina umuhimu wake mkuu
Hapana , elsewhere it is not!, Systems ya kusoma kwa kutumia past papers ndo inatukelea wasomi wenye passmarks za juu lakini kwenye practical ni zero ,
Past papers ni usomi wa kukariri,
 
Naona fursa apa ya kutengeneza vijitabu vya review kama za form four za CPA, ACCA nk
 
Back
Top Bottom