LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 622
sawa mkuu nitashukuruKama unaitaji niku unganishe na Dr.Mwambuli wa IFM
zina umuhimu wake mkuuPast papers za nini? Tafuta knowledge sio maswali na majibu ndugu.
Ndo elimu yetu hiyo, no wonder hatuwezi kufanya uvumbuzi, watu wanazunguka mule mule , kwa ajili ya kukariri maswali na majibu,Past papers za nini? Tafuta knowledge sio maswali na majibu ndugu.
Hapana , elsewhere it is not!, Systems ya kusoma kwa kutumia past papers ndo inatukelea wasomi wenye passmarks za juu lakini kwenye practical ni zero ,zina umuhimu wake mkuu