samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Mashabik wa simba mna hasira sana.We fala nini nani unampa kazi hiyo we ingia YouTube si ndo mwenye shida kaitafute uscreenshoot uje kutulisha sisi content
Me mwananchi mkuu ila hio kazi ya usumbufu siwezi kuifanya ni ya kipumbavu hatuna muda huoMashabik wa simba mna hasira sana.
Bas hiz hasira bila shaka ni kukosekana kwenye mkeka wa teuzi janaMe mwananchi mkuu ila hio kazi ya usumbufu siwezi kuifanya ni ya kipumbavu hatuna muda huo
Mbona una hasira km unawekewa kijiti na Aly Ahly 🤣We fala nini nani unampa kazi hiyo we ingia YouTube si ndo mwenye shida kaitafute uscreenshoot uje kutulisha sisi content
Hizo ni cheche tu😅.Kule south kitawaka kitu🤣