Mwenye picha ya DJ Endy na Mtangazaji Mami wa clouds FM azitupie humu.

Mwenye picha ya DJ Endy na Mtangazaji Mami wa clouds FM azitupie humu.

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Habari zenu wanajukwaa. Mada hapo juu yajieleza. Kuna wanadada wenye sauti nyororo wa Clouds FM, yaani Mami na DJ Endy ambaye sijamsikia muda mrefu. Mwenye picha zao tafadhali tuwekee humu jukwaani. Asanteni.
 
Labda anahitaji hizo picha azitumie...hawa jamaa huwa wana mbinu lukuki.
Kweli JF imebadilika, wadau mimi nataka tu kuwaona walivyo maana huwa nawasikia redioni na sijawahi kuwaona runingani. Sina jingine wallahi!!
 
Habari zenu wanajukwaa. Mada hapo juu yajieleza. Kuna wanadada wenye sauti nyororo wa Clouds FM, yaani Mami na DJ Endy ambaye sijamsikia muda mrefu. Mwenye picha zao tafadhali tuwekee humu jukwaani. Asanteni.
Google tu mbona simple
 
Uyo ndio Mami baby
 
Attachments

  • IMG_20171017_195338.jpg
    IMG_20171017_195338.jpg
    11.8 KB · Views: 234
Yan watangazaji wengi huwa tofauti na sauti zao, hyo mamy baby alivyo na sauti yake n vitu viwili tofauti.
 
Namkubali yule mdada Dj wa efm ,mapigo yake sio ya nchi hii
 
Back
Top Bottom