Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Labda anahitaji hizo picha azitumie...hawa jamaa huwa wana mbinu lukuki.Leo ujaja na thread zako za kupiga nyeto?
Swissme
HahahaLabda anahitaji hizo picha azitumie...hawa jamaa huwa wana mbinu lukuki.
Kweli JF imebadilika, wadau mimi nataka tu kuwaona walivyo maana huwa nawasikia redioni na sijawahi kuwaona runingani. Sina jingine wallahi!!Labda anahitaji hizo picha azitumie...hawa jamaa huwa wana mbinu lukuki.
Google tu mbona simpleHabari zenu wanajukwaa. Mada hapo juu yajieleza. Kuna wanadada wenye sauti nyororo wa Clouds FM, yaani Mami na DJ Endy ambaye sijamsikia muda mrefu. Mwenye picha zao tafadhali tuwekee humu jukwaani. Asanteni.
Labda anamaanisha Dee AndyDj endy ndio nini
HuyohuyoLabda anamaanisha Dee Andy
Iko waziYan watangazaji wengi huwa tofauti na sauti zao, hyo mamy baby alivyo na sauti yake n vitu viwili tofauti.