DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,983 Reaction score 11,857 Jun 3, 2023 #21 Ganja ni dawa said: kwa hiyo kule anaenda kama mgeni rasmi? watanzania tuache ujinga na unafiki mbona wiki iliyopita sikumuona waziri wa Algeria hapa kwetu Click to expand... Ulimbukeni uliokithiri
Ganja ni dawa said: kwa hiyo kule anaenda kama mgeni rasmi? watanzania tuache ujinga na unafiki mbona wiki iliyopita sikumuona waziri wa Algeria hapa kwetu Click to expand... Ulimbukeni uliokithiri
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Jun 3, 2023 Thread starter #22 cocastic said: Umeshindwa kuficha mahabaa, shabiki wa Yanga, Wapii neutral [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Aliyekuelewa anifafanulie.
cocastic said: Umeshindwa kuficha mahabaa, shabiki wa Yanga, Wapii neutral [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Aliyekuelewa anifafanulie.
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Jun 3, 2023 #23 SAGAI GALGANO said: Uzuri ni kuwa leo Yanga anaenda kudhalilishwa hawataamini macho yao. Na lazima ngumi zipingwe kwenye ndege wakiwa angani kurudi Click to expand... Acha uchawi
SAGAI GALGANO said: Uzuri ni kuwa leo Yanga anaenda kudhalilishwa hawataamini macho yao. Na lazima ngumi zipingwe kwenye ndege wakiwa angani kurudi Click to expand... Acha uchawi