displayname JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,972 Reaction score 1,085 May 23, 2017 #121 kiatu kipya said: Nimecheka kama mazuri kuwa kinywele kimoja anafukuzia nyota ya Harmorapa kiki those was days beats classic ni kwa P na master then wakaja kina John Mahundi,Enrico kitambo na Bizman Click to expand... Mika Mwamba
kiatu kipya said: Nimecheka kama mazuri kuwa kinywele kimoja anafukuzia nyota ya Harmorapa kiki those was days beats classic ni kwa P na master then wakaja kina John Mahundi,Enrico kitambo na Bizman Click to expand... Mika Mwamba
JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 May 23, 2017 #122 "Nini mnataka mazee, nini mnataka, hapa shwari nikiwa busy MC P Wa Black ndani ya hii safari ndeeefu...for real" Halafu kuna ngoma moja kafanya na Blue Kabayser " mi nafanya nini"
"Nini mnataka mazee, nini mnataka, hapa shwari nikiwa busy MC P Wa Black ndani ya hii safari ndeeefu...for real" Halafu kuna ngoma moja kafanya na Blue Kabayser " mi nafanya nini"
JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 May 23, 2017 #123 Mbugangali Lameck ndio nilimsikia mwenyewe kwenye interview kwa radio. husna muba said: Pig black jina lake halisi ni mbungangali jumanne foto yake sina Click to expand...
Mbugangali Lameck ndio nilimsikia mwenyewe kwenye interview kwa radio. husna muba said: Pig black jina lake halisi ni mbungangali jumanne foto yake sina Click to expand...