Mwenye picha za wasanii miaka ya 2002 atuwekee hapa tujikumbushe

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Enzi zile,kulikuwa na fasion ya mashart na suluali pana,sijui ziliishia wapi!!
 
Ray c miaka hiyo hakuniangushaga.alikua anatupia simple lakini mweeh anatoka mchicha

Jaydee mwenyewe alikua ananoga,alikua anapenda kuvaa vibrazia tuu juu.....

Wanaume sasa ndo walikua wanaharibu nguo sijui walikua wanamwazima pepe kale au ndo fashion.
 
PAGAN said:
Jaydee kipindi hiyo alikuwa anajitahidi kukata viuno. Kiuno chenyewe kugumuu kama tofali.
Kiuno ilikua ray c bana ukichoka kumtazama unahamia kwa Aisha madinda.

Mura na uno wapi na wapi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…