Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

HAPANAAAA....
Bado ni mume wangu.
passion lady, niachie mume wangu.

nafikiria kukusaidia, maana nikifanikiwa ktk hili lazimd niwe chief judge, wasiwasi wangu kwako madam b ni kwamba umekuwa ukitajwa na watu wengi sana na hukuwah kukanusha, itabidi ufike cchc ili tuweze kukusaidia, ila hakikisha cku unakuja rutta yupo buligu ili asipate access ya jf
 
Last edited by a moderator:

Hahaha Voice of Wisdom bhana.
Si unajua mimi nina mitala ya kiume!
Ruttashobolwa kasepa.
 
Last edited by a moderator:
Of Courze Mpenzi.
Me niko tayari.
Next?

tuandae jalada, ila hakikisha una kila supporting doc, maana huyu mheshimiwa ana mawe, ila naijuaga weaknes yake. We letaga ule mukataba wa ndoa, kisha tunasubiria siku wanadhani ndiyo furaha yao kwao na kwako huzuni inakuwa versa vice. Ila pia ujiandae kuhama nchini moja kwa moja
 
nitamuweza tu Ngalikihija,moyo ndo ushapenda mwenzio
This means unayajuwa mapunguvu yake, unazijua strength zake, kwa hiyo hakutakuwa na supprise kwako kuhusu yeye... If so, kila la kheli, ila tu usije ukarudi hapa na mara vile mara hivi kwa hiyo simuwezi.... Mi sitakuelewa.... Pingu ya maisha hiyo haina dhamana wala msamaha wa raisi.... kifo tu ndo kitakutenganisha naye.... IF YOU ARE READY.... lya lya lya lya lululululu....
 

Well noted with thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…