ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
Ha ha ha ha ha haaaa...
Source: FMeS , Le Mutuz @NY
Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa moyoni RUTTASHOBOLWA!
Well noted with thanks.
Ngoja na mimi nitangaze nia..nani yupo single jamani ktk hii nchi ya
chitchat.. Donn ckuwezi usije kabisaa.
We ngoja... Mi pingamizi naiandaa... Ili dakika za mwisho ndo niropoke passion lady
Angekaguliwa kwanza ndio angetambua! Mtoto mbichi kabisa halafu anataka aolewe na mtu aliyeachika!? Sikubali!
Diskolifikeshenihere iam, bt iam unavailable(bachelor bt unavailable-BBU)
Kumbuka Ruttashobolwa hakunipa talaka wewe passion lady
i missed you
Madame b inabidi avumilie tu niwe mke mwenza!