vipi kuhusu aliyesoma M.A Ya revenue laws alaf ana background Ya Bcom undergraduateHapana haiwezekani. Kwa mujibu wa Law school Act of 2007, mtu mwenye vigezo vya kwenda law school ni yule aliyesoma bachelor in law. Asante
Haiwezekan..Law school wanasoma wenye LL.B tu.. (bachelor of Laws)Salaam waungwana . Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba law school pale mawasiliano ila mwanzo alisoma Bachelor ya Law Enforcement na amesoma PostGraduate Diploma in Law.. je wanaweza mpokea akasomaa??
Swali ni je wenye Postgraduate Diploma in Law Wanapokelewa pale law school?
Wanasoma kama kawaida KAMA MTU ANA POSTGRADUATE YA SHERIA NA MASTERS AU LA ENFIRCEMENT ACHA KUPOTOSHAHaiwezekan..Law school wanasoma wenye LL.B tu.. (bachelor of Laws)
Acha Ligi lisilo na maana mwambie aende au nenda ww kwa hizo qualifications zako km utasoma...periodWanasoma kama kawaida KAMA MTU ANA POSTGRADUATE YA SHERIA NA MASTERS AU LA ENFIRCEMENT ACHA KUPOTOSHA
Wanasoma.. juzi kuna mtu kauliza palw Regstrar kasema wanwaadmit kwan pale unahtaj uwe na course 16 ila kuchkua course za PDGL na Law enforcement mru anakuwa na jumla ya course 11 hizo tano anasoma wakat wa kuendelea na masomi. Vyio vingne kama mzumbe,Tumaini hawasom course zote za law school wakifika pale wanapaswa kusoma upya.Acha Ligi lisilo na maana mwambie aende au nenda ww kwa hizo qualifications zako km utasoma...period
Mkuu fanya utafiti kabla ya kuandika vitu ukapotosha umma,,alokwambia Mzumbe hawasomi core course 16 zote zilizoorodheshwa law school ni nani? core course zote 16 Mzumbe wanasoma na mpaka sasa wapo waloingia cohort ya 23 na hawapaswi kusoma hizo core course upya.Wanasoma.. juzi kuna mtu kauliza palw Regstrar kasema wanwaadmit kwan pale unahtaj uwe na course 16 ila kuchkua course za PDGL na Law enforcement mru anakuwa na jumla ya course 11 hizo tano anasoma wakat wa kuendelea na masomi. Vyio vingne kama mzumbe,Tumaini hawasom course zote za law school wakifika pale wanapaswa kusoma upya.
mimi ni mtu wa Tuamini. Tulichosoma Law xul yote tumepitia toka Tuamini. Sijui hiy course mpya unayoongelea ni ipi sasaWanasoma.. juzi kuna mtu kauliza palw Regstrar kasema wanwaadmit kwan pale unahtaj uwe na course 16 ila kuchkua course za PDGL na Law enforcement mru anakuwa na jumla ya course 11 hizo tano anasoma wakat wa kuendelea na masomi. Vyio vingne kama mzumbe,Tumaini hawasom course zote za law school wakifika pale wanapaswa kusoma upya.
Unacho kiongea cki ekewi..coz hiyo Tumaini unayo iongelea me ndy nimesoma hapoWanasoma.. juzi kuna mtu kauliza palw Regstrar kasema wanwaadmit kwan pale unahtaj uwe na course 16 ila kuchkua course za PDGL na Law enforcement mru anakuwa na jumla ya course 11 hizo tano anasoma wakat wa kuendelea na masomi. Vyio vingne kama mzumbe,Tumaini hawasom course zote za law school wakifika pale wanapaswa kusoma upya.
Tumaini mnasoma company..Succession mnasoma hizo course aisee.?? Kuna baadhi ta koz vyuo vingine hamsomi na ukiemda law school mnaanza kuzisoma upyaUnacho kiongea cki ekewi..coz hiyo Tumaini unayo iongelea me ndy nimesoma hapo
Una digrii ya Sheria?Wanasoma kama kawaida KAMA MTU ANA POSTGRADUATE YA SHERIA NA MASTERS AU LA ENFIRCEMENT ACHA KUPOTOSHA
Una digrii ya Sheria?Wanasoma.. juzi kuna mtu kauliza palw Regstrar kasema wanwaadmit kwan pale unahtaj uwe na course 16 ila kuchkua course za PDGL na Law enforcement mru anakuwa na jumla ya course 11 hizo tano anasoma wakat wa kuendelea na masomi. Vyio vingne kama mzumbe,Tumaini hawasom course zote za law school wakifika pale wanapaswa kusoma upya.
Kuna chuo Tanzania kinaitwa Tuamini?mimi ni mtu wa Tuamini. Tulichosoma Law xul yote tumepitia toka Tuamini. Sijui hiy course mpya unayoongelea ni ipi sasa
kipoKuna chuo Tanzania kinaitwa Tuamini?
Una digrii ya Sheria?
Tuamini ni chuo kipya au?kipo
Tumaini mkuuTuamini ni chuo kipya au?
NdioUna digrii ya Sheria?