The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Hajui kwamba hizo ni kazi za watu....anataka buresh buresh.Kwamba tukupe tu bure au sio
Ki gorofa πWakuu
Mwenye Raman ya Ki gorofa naomba anitumie..
Ki gorofa flani hivi Cha kishkaji Low budget Kwa mm ninae jitafuta .. nimepanga 2025 nianze ujenzi lakini sio nyumba ya chini plan ni ki gorofa,
Zingatia neno Ki gorofa π
Watu wanakaa darasani sio chini ya miaka mitatu ye anataka apewe tuHajui kwamba hizo ni kazi za watu....anataka buresh buresh.
Hah kweli ka gorofaKi gorofa π
View attachment 3185799
Tulia Sasa, Mimi nitapata bureRamani zinauzwa broo,hutaki unaweza kudownload
ππππKwakuwa unapenda vya bure acha tukupe bure
View attachment 3185802
Nimeipenda hii spirit... big up bro. Sio lazima uspend kwenye kila kitu. Hao wanaojiita wachoraji wanadesa tu huko mitandaoniTulia Sasa, Mimi nitapata bure
Au ni kibanda cha mlinzi, mbona sielewi.Ki gorofa π
View attachment 3185799
Sasa unafikiri naweza kujenga magorofa kama ya Lugumi ? Kuna gorafa zipo simple tu, Kwa mtu anae pambana anaweza kujenga..Au ni kibanda cha mlinzi, mbona sielewi.