Mwenye ramani za mabanda ya kufugia kuku tafadhali naomba unisaidie

kipusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
443
Reaction score
75
Naomba msaada wa ramani za ujenzi wa banda la kuku wa kisasa na kienyeji kwa aliye nayo.
 
Naomba msaada wa raman za ujenzi wa banda la kuku wa kisasa na kienyeji kwa aliye nayo
pls angalia website ya BIG DUTCHMAN, utaona kila kitu, ukiwa na maswali mengine feel free kuniuliza mkuu
 
mabanda mazuri lkn naona mengi kama ya mbele mbele.... leteni ya Kisarawe na Namtumbo tuyaone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…