Mwenye registered company, location na wateja wa bidhaa hizi.

abcde

Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
38
Reaction score
5
Habari wadau!
Nahitaji mtu mwenye registered company, location ya biashara na contacts za wateja wa bidhaa hizi ani pm

Construction / Building Materials


Aluminum Composite Panels
Aluminum Sections


Heavy Equipment
Wooden Flooring

Rubberized Flooring


Wellness & Fitness


Fitness Equipment
Free Weights
Sauna & Steam

Massage Tables

Multi Stations Gyms

Yoga Accessories

Wellness & Fitness Consultancy

Oils & Powders



IT Products / Services


Digital Signage Systems

HD Cameras and Security Systems

Video Walls and Hardware Systems

Handheld Digital Catalogs

Cables & accessories

GPS Tracking devices

Access Control Systems

POS Systems

Application Development

Nahitaji tufanye some kind of partnership kama tutaelewana.
Asante



 
Nime ku pm mbona kimya?
 

Mkuu, hapo kwenye nyekundu umenigusa, whats your plan? Kindly PM-me!
 
Jmani yawekeni mambo hadharani ilina wengine wafaidikike, vinginevyo kusingekuwa na umuhimu wa hili jukwaa letu.
 
nimekuelewa kaka, ni hivi kuna kampuni linataka mwakilishi Tanzania kwa vifaa hivyo, kwa sasa kuna shughuli nafanya naona zinaniweka busy, wanachotaka ni uwe na registered company, location, na contact za wateja, then unafanya orde depending on demand, kama uko interested ni pm nikupe email yao.
 
mbona hujatueleza hiyo kampuni ni yapi? china/german/u.k?hizo bidhaa wanakukopesha au unalipa kabla ya kukuletea?embu dadavuka hapo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…