Mwenye rekodi ya kucha ndefu zaidi ulimwenguni azikata

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
Ayana Williams mkazi wa Texas nchini Marekani hatimaye ameamua kuzikata kucha zake baada ya takriban miaka 30.

Ayana aliweka rekodi ya Guiness mwaka 2017 kwa kuwa na kucha ndefu zaidi, wakati huo kila ukucha ukiwa na urefu wa inchi 21.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…