Mwenye Riwaya ya Rosa Mistika - ( Euphrase Kezilahabi) anisaidie niisome tena

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Nikiwa darasa la Sita nilisoma riwaya hii, wakati huo dadangu alikuwa form one Msalato Girls school - nilipata nafasi ya kumhadithia yote, na nilimsisitiza mno pale Rosa alipoanza kulewa na kufukuzwa shule.

Nilitumia riwaya hii kumfikishia dadangu ujumbe !! Ni miaka mingi imeshapita, nataka nikisome tena, kwa hiyo mwenye nacho basi tuwasiliane ama anipatie hapa.
 
Dada alipata ujumbe uliokuwa unampa? Umekuwa na busara mapema.
 
Nikiwa darasa la Sita nilisoma riwaya hii, wakati huo dadangu alikuwa form one Msalato Girls school - nilipata nafasi ya kumhadithia yote, na nilimsisitiza mno pale Rosa alipoanza kulewa na kufukuzwa shule.

Nilitumia riwaya hii kumfikishia dadangu ujumbe !! Ni miaka mingi imeshapita, nataka nikisome tena, kwa hiyo mwenye nacho basi tuwasiliane ama anipatie hapa.
Hebu fika pale Cathedral bookshop utasaidika
 
Back
Top Bottom