Valentineoneday
Member
- May 28, 2011
- 71
- 63
Ninazo 2 za air tel bado hazisajiliwaNahitaji special number ya simu.
Vodacom au Airtel
Namba zinazofatana kwa kufanana zitapewa kipaumbele cha kwanza. Mfano 076*000000 etc
ππππ Wewe utakuja kumuuza mke wakoMkuu, Mimi ninayo ya 007 007 ila sijui tutafanyaje ili kuhamisha usajili kutoka kwangu kwenda kwenye nida yako. Au Kama vipi weka day nono tukutane nikuachie uishi nayo hivyo hivyo
70,000/=
Nazitaka, unauzaje?Ninazo 2 za air tel bado hazisajiliwa
0681 500008 na 0681 500 400
Tuwasiliane tafadhali 0744 000080Kuna hii yangu niliitoa makao makuu voda
07.....600600
Call me on 0744 000080Mkuu, Mimi ninayo ya 007 007 ila sijui tutafanyaje ili kuhamisha usajili kutoka kwangu kwenda kwenye nida yako. Au Kama vipi weka day nono tukutane nikuachie uishi nayo hivyo hivyo
70,000/=