Mwenye story yoyote ya mambo yanayotokea karibu na kifo ayamwage hapa

Mwenye story yoyote ya mambo yanayotokea karibu na kifo ayamwage hapa

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Yeyote mwenye habari zozote zinazohusu NDE au Near Death Experience anaweza kumwaga hapa.

Haya maisha tunayoishi ni zaidi ya tunayoyajua.

Elimu haina mwisho, tuendelwe kujifunza wajameni.
 
. . . am a bad muuhfucka coz the good die young . . .
 
Mimi niliwahi fika ile stage ya acceptance yani unakubali kua sasa wakati wangu umefika na sina namna zaidi ya kurudi kwa mola wangu.

Tukio lenyewe nilizama kwenye maji mto Kiwira Mbeya huko

Nilinasa kwenye mizizi ya miti ndani ya pango lililochimbwa na maji ya mto baada ya hapo nilikuja kuzinduka nimelazwa ufukweni huku nikizungukwa na kundi la watu
 
Yeyote mwenye habari zozote zinazohusu NDE au Near Death Experience anaweza kumwaga hapa.

Haya maisha tunayoishi ni zaidi ya tunayoyajua.

Elimu haina mwisho, tuendelwe kujifunza wajameni.
Hii thread yko mkuu uchangiaji utakua changamoto, kwa ninavyowajua Waafrika tunavyoogopa kifo
 
Yanini kuandikia mate wakati wino upo..wait kdg siku yako ya kupumzika utajua A to Z..kwa sasa enjoy na usisahu kushukuru na uwe na kiasi
 
Mimi niliwahi fika ike stage ya acceptance yani unakubali kua sasa wakati wangu umefika na sina namna zaidi ya kurudi kwa mola wangu.

Tukio lenyewe nilizama kwenye maji mto Kiwira Mbeya huko
Ikawaje?
 
Back
Top Bottom