Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Hii thread yko mkuu uchangiaji utakua changamoto, kwa ninavyowajua Waafrika tunavyoogopa kifoYeyote mwenye habari zozote zinazohusu NDE au Near Death Experience anaweza kumwaga hapa.
Haya maisha tunayoishi ni zaidi ya tunayoyajua.
Elimu haina mwisho, tuendelwe kujifunza wajameni.
Ikawaje?Mimi niliwahi fika ike stage ya acceptance yani unakubali kua sasa wakati wangu umefika na sina namna zaidi ya kurudi kwa mola wangu.
Tukio lenyewe nilizama kwenye maji mto Kiwira Mbeya huko
Nimesha edit hapo.Ikawaje?