Mwenye swali kuhusu cozi ya mass comunication chuo cha SAUT

venture1

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
18
Reaction score
4
Yeyote aliye na maswali kwa nyie wanafunzi wapya wa SAUT kihusiana na course ya mass comunication bas aulize hapa nami ntamjibu
 
Wataosoma bachelor of arts in marketing and public relation na mass communication ,nasikia wataenda campus ya bukoba au singida na sio mwanza..Je ni kweli au ni uzushi tu
 
Yeah hiyo inawezekana ila watachagua kutokana na dvsn uliyopata form six
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…