Mwenye taarifa alipo huyu member Jimmy Jimble atuambie alipo maana kapotea.

Hivi kumbe inawezekana watu WA humu kujenga urafiki licha ya kuwa nyuma ya id fake?anyway labda kashafariki maana baada ya hapa huwa hatujuani ktk maisha yetu halisi.
 
Ndio ninamsikia sasa,

BTW pengine atakuwa amebadili ID
 
Members wengi wa,zaman humu wamebadili id

Unaweza kuta unapshana
Nae kila uz lakin id ndo
Shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…