Mwenye taarifa/habari za waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka 2014.

MR.NOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
339
Reaction score
505
Nimepata taarifa zisizo rasmi kutoka kwa mdogo wangu aliyemaliza kidato cha nne na kutusua vizuri tu katika mtihani wake, kuwa tayari majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2014 yameshatoka,yeye amesikia watu wakiwa wanazungumzia, sasa ameniomba nimtaftie na ajue ni shule gani kapangiwa.tafadhali naomba mwenye taarifa sahihi atujuze wana jukwaa.
 
ni uongo tulia mwisho wa mwezi huu zitatoka
 
Soon baada ya hz paper za frm 6 watayatangaza,mwambie dogo asijali
 
Mwenyewe nayasubiri sana!! Pelelezeni wadau wetu
 
nmeskia selection watatangaza after form six kumaliza pepa kwan lini wanamaliza wote?
 
twawasubiri form six gani tena wakat tayari washamaliza pepa
 
wemzangu tuzisubirini japo zitachelewa, ila selections sio mtihani kwamba utafeli, TUSUBIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…