Mwenye taarifa kuhusu klad tz ltd

Mwenye taarifa kuhusu klad tz ltd

Kambiaso

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
145
Reaction score
120
Klad tanzania limited ni kampuni ya umeme wa taka iliyokua mbioni kuanza operation mwishoni mwa mwaka jana,mimi ni moja kati ya waliotuma application na hatimaye kuitwa kufanya intrvw kwny ofc zao zilizokua maeneo ya boko,nilihaidiwa kuitwa mwanzoni mwa mwaka huu kwa ajili ya anthr intrvw lakn hadi sasa naona kimya,kwa anaefaham tafadhari anijuze nn kiliendelea..
 
daah mdau tulikuwa wote tuliofanya hiyo interview mm nilifanya mambo ya uhasibu bt hadi leo naona kimya sijui ndio ukiona manyoya tusubili lakini tuone may be wadau wanaweza kutupa information
 
hawa jamaa karibu wataanza uzalishaji soon ila kinachosumbua ni makubaliano na tanesco ili waanza kazi purchasing power agreement ndio bado kuna longolongo hapo ,msihofu uwenda mkaitwa soon
 
Shukrani sana kaka kwa taarifa,ntashukuru kama nkipata kazi,nahisi hao jamaa ndio waliiona potential nlionayo kwa jinsi walivonihoji siku ya usahili.
 
Back
Top Bottom