Mwenye taarifa kutoka mkombozi bank plc, plz!

omusimba

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
310
Reaction score
78
jamani naomba kupata taarifa ya zile nafasi za kazi zilizotangazwa hivi karibuni pale mkombozi bank. Natarajia ushirikiano.
 
walishafanya interview na wamesgachagua nina jamaa zangu wawili wamepata, hata mimi nilomba ila naona waliita watu wanaowahitaji tu. Jamaa yangu mmoja kapata nafasi ya auditing na mwingine meneja. Nadhani tusubiri bahati nyingine. Na hao jamaa zangu wote wameshatoa resignation notice hapa ofisini kwa ajili ya kujiunga huko.
 
nackia huwa hawatunz cv wakishaajr tu wanatupa kwny dustbn,
 
duh! mungu yupo nasi, je? vipi na kuhusu AKIBA COMMERCIAL BANK,zile za mateller 11. kweli kupata kazi ni kazi
 
Kweli jamani 2peane taarifa kuhusu Akiba commecial Bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…