Mwenye taarifa za biashara ya Gym.

Biashara ya gym ilikua enzi za mkwere sasa hv maisha ni gym tosha
 
Gym ya elfu 5 mmiliki anapataje faida?
Kuna watu wanapenda wenzao wafanye mazoezi wamejitoa kimtindo huo.

Ila kikihitajika kifaa mtachanga.

Kwenye kota za NHC za Upanga karibu na Mhimbili nimesahau jina la mtaa kuna jamaa ameweka vifaa vya gym kwenye rooftop.
Na unaenda kufanya mazoezi bure, humjui hakujui. Na ukimaliza hapo unaingia kwenye swimming pool.
 
[emoji120] [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…