bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
Ninazo; walishafunga applications!!!!!
Lakini thread yako haikuwa wazi kama ulitaka hilo!asante kwa kuwa na taharifa. Mm naulizia kama washaita watu kwenye usaili au la?
Lakini thread yako haikuwa wazi kama ulitaka hilo!
ni kweli bt anaonekana kujua hadi deadline so ts obvious anataka fidback ya shortlistd kendidet kwa intavyuu
ok walishaita watu kwenye usaili abt 3-4 weeks zilizopita nahisi hata waliofanyiwa usahili majibu yameshatoka may be wakitangaza tena nitawaapdatekwel kabisa, nahtaj kujua hyo fidback mkuu.