Hapo shida yaweza kuwa idle sensor ndio jibu la haraka kama gari iko powa haina miss wala shida yoyote.Habari mkuu,nina Teriors engine K 3,inatatizo,nikiwa kwenye foleni nimeweka drive D na kuanyaga brake gari inashuka silencer na kuzima.
Mpaka niweke P niwashe ndio niweze kuondoka.
Tatizo ni nini haswa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo ilikua na mis fundi akaionda.Hapo shida yaweza kuwa idle sensor ndio jibu la haraka kama gari iko powa haina miss wala shida yoyote.
Je vipi ukizima ac bado inafanya hivyo.inazima?
Au ukiwasha na kuweka p rpm huwa inakuwa kwenye ngapi?.
Na ikiwa kwenye p ukiwasha ac silensa huwa inaongezeka au kupungua na inafika kwenye ngapi?. Na vile vile ukiweka d inasomaje
Hapo shida yaweza kuwa idle sensor ndio jibu la haraka kama gari iko powa haina miss wala shida yoyote.
Je vipi ukizima ac bado inafanya hivyo.inazima?
Au ukiwasha na kuweka p rpm huwa inakuwa kwenye ngapi?.
Na ikiwa kwenye p ukiwasha ac silensa huwa inaongezeka au kupungua na inafika kwenye ngapi?. Na vile vile ukiweka d inasomaje
Usijali bro Aroon,Ni vema uchangie na usaidie watu kuliko kuleta dharau.
Mimi hapa sipo kuhitaji hata shiling mia ya mtu, nipo kutoa kile kichopo akilini mwangu baada ya kuisomea hii taaluma. ,hivo kama kuna kitu changia sio kuanza KUVURUGA UZI
Haileti maana ,
Hahaha mkuu pole sana mbona kama umepanic watokwa na povu jingi..hembu acha.kuwa na tabia za kike za kususa mafundi huwa hawasusi bwana huwa wanapambana mpaka tone la mwisho..Samahanini wakuu kwakutowajibu, naona huu uzi umevamiwa na matapeli wajuaji wanaotaka kupata kidogo yaani hela ,
Mimi nilijitolea kuelezea na kutatua matatizo ya watu bila kuhitaji hata mia,h hahaha
Lakini naona wahuni wameuvamia na wanawavutia watu PM wawapige hela, hivo nimeamua kukaa pembeni.
Ulitaka inywe nini?? joksGari yangu inakunywa mafuta nifanyeje? Injini yake 6 cylinder
Ipe ujiGari yangu inakunywa mafuta nifanyeje? Injini yake 6 cylinder
Ungenyamaza tu!Ipe uji
[emoji119]Ungenyamaza tu!
Speed Governor ichekiwe vizuri sijajua kwenye magar huwa mnatumia ipi kati ya mechanical governor au electrical governor....... Nipen jibu hapo zen nielezee how inapelekea hilo tatzoMkuu habari. Shukrani kwa uzi huu. Gari yangu ni ist na inashida nikiendesha accelerator speed haizid 3 au 4 na ikizid zaid hapo kama unakanyaga mafuta sana inatoa mlio flani....kama pa.pa.pa.pa.pa..... na ukiwa unapanda mlima inakosa nguvu kiasi kwamba haizidi 30km/hr kilimlima chochote...yaaaani mwinuko wowote. Ni nini shida mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijakuelewa...speed governor kiaje??Speed Governor ichekiwe vizuri sijajua kwenye magar huwa mnatumia ipi kati ya mechanical governor au electrical governor....... Nipen jibu hapo zen nielezee how inapelekea hilo tatzo
Engine inapowaka Governor hupeleka mafuta kwa kiwango sahihi ili engine ibakie katika speed fulani iliyokusudiwaMkuu sijakuelewa...speed governor kiaje??